Asubuhi leo nilipata nafasi ya kucheza golf na Mtemi Kamulika wa Iswangala na kujadili mambo mengi ya maendeleo kwa ajili ya Temi zetu na nchi yetu pendwa kwa ujumla 🙏