• Talk To us : +255 (0) 753 264000

News

Remain updated with what is happening in around Busiya Chiefdom

News

Kikao Kazi cha Mali Kale Jijini Dodoma

Uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii umefanya kikao kazi cha Mali Kale Jijini Dodoma na kupiga picha ya pamoja na Ntemi Makwaia III wa Busiya na

Ntemi Makwaia III wa XXIII Atembelea Kata ya Kolandoto

Ntemi Makwaia III wa XXIII wa Busiya alitembelea Kata ya Kolandoto tarehe 08 Januari 2026, akifanya kikao na viongozi wa kata na uongozi wa Chuo cha Sayansi za Afya Kolandoto,

Usajili wa sanjo ya busiya

Leo hii Ntemi Makwaia III, wa XXIII wa Busiya hapa Dodoma nimefanya kikao na Afisa Mwandamizi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani kwa lengo

Mtemi David Kidaha Makwaia – 1957 Waziri Mdogo wa Ardhi katika Serikali ya Kikoloni

Mtemi David Kidaha Makwaia Mwaka 1957 aliteuliwa kuwa Waziri Mdogo wa Ardhi katika Serikali ya Kikoloni

Mtemi Makwaia XXIV na Mtemi wa Wamaasai

Nimepata heshima kukutana na kusalimiana na Mtemi wa Wamaasai na ameleta salamu za upendo kwa wana Basiya wote 🙏🙏

Mtemi Makwaia XXIV na Mtemi Kamulika wa Iswangala wakutana katika Golf

Asubuhi leo nilipata nafasi ya kucheza golf na Mtemi Kamulika wa Iswangala na kujadili mambo mengi ya maendeleo kwa ajili ya Temi zetu na nchi yetu pendwa kwa ujumla 🙏

Ugeni wa Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ikulu yetu ya Busiya.

Tumeshukuru kwa ugeni wa Wizara ya Maliasili na Utalii katika Ikulu yetu ya Busiya.

Chief Wanzagi J. Nyerere, Mhe. Dr. Wilson Mahera – Mgombea Ubunge Butiama, Chief Makwaia III

Chief Wanzagi J. Nyerere, Mhe. Dr. Wilson Mahera – Mgombea Ubunge Butiama, Chief Makwaia III na waandamizi wengine, nje ya kaburi la Mwl. Nyerere, Butiama mchana huu. Heri kwetu sote ya siku ya Nyerere (Oct 14)!!